We warmly welcome you to Our Knowledge base which is dedicated to critical, interesting, useful and remarkable legal issues.


Human DNA - Mambo ya kufahamu

Suala la kupima DNA linazidi kuwa na umuhimu wa pekee miongoni mwa Watanzania kadiri siku zinavyokwenda. Hivyo tumeona tukudokeze machache juu ya sheria inavyosema….

Read More

 


Mfumo mpya wa BRELA wa kimtandao

Kwa ambaye bado hana taarifa, ofisi ya usajili wa biashara (BRELA) sasa hivi haipokei tena nyaraka ngumu (hard copies) zozote. Kila kitu sasa kinafanyika kwenye mtandao kwa kupitia mfumo unaoitwa Online Registration System (ORS).Kampuni zote ambazo zilikuwepo kabla ya mfumo huu mpya kuanza zinatakiwa….

Read More


How to remove a director from a company under Tanzanian Laws

At some point, the company may wish to remove a director due to dissatisfaction with that director’s performance in the company. The law allows shareholders of a company to carry out that removal regardless of what the company’s articles of association provide, or regardless of any agreement between the company and that director. The following is the procedure for the removal….

Read More


How to prove authenticity of evidence obtained from the internet

Whereas the law is now clear that electronic evidence is admissible in civil cases, the challenge of proving authenticity of that evidence still troubles many of us. Some of the reasons for that challenge is that electronic evidence comes in different forms and the law is not yet very clear on which exactly are the acceptable ways of proving authenticity of each category of electronic evidence. The challenge is even greater when it comes to materials obtained from the internet because, as widely understood, those materials are considered to be less authentic and they can be easily tampered with…

 

Read More


MAHAKAMA YA MAFISADI – RASIMU YA KANUNI ZINAZOPENDEKEZWA ZA MWENENDO WA KESI KATIKA MAHAKAMA MAALUM YA MAKOSA YA UFISADI NA KIUCHUMI MAARUFU KAMA MAHAKAMA YA MAFISADI

Haya ni baadhi ya mambo muhimu yaliyopo kwenye rasimu ya kanuni za mwenendo wa Mahakama maalum ya makosa ya ufisadi na makosa ya kiuchumi, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi. Kanuni hizi bado hazijapitishwa kuwa sheria, lakini bado ni muhimu kufahamu zinaongelea mambo gani.

Kanuni zinaunda kitengo maalum cha Mahakama Kuu kwa ajili ya makosa ya kiuchumi na ya ufisadi. Masijala kuu itakuwa Dar es salaam na vile vile kutakuwa na masijala ndogo katika sehemu mbalimbali za Tanzania ambazo…….

 

Read More


SINGLE SHAREHOLDER COMPANY IN TANZANIA –AN OVERVIEW

A single shareholder company is a registered corporation with only one shareholder. That form of company has been introduced in Tanzania through the Business Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2012. The following are the key features of a single shareholder company:-

 

It should have only one shareholder/me…..

 

Read More


ADOPTION OF A CHILD BY FOREIGNERS IN TANZANIA MAINLAND.

GOVERNING LAW                                                                               

 The main legislation which governs all matters concerning adoption in Tanzania Mainland is the Law of the Child Act; Number 21 of 2009 hereinafter shall be referred to as the Act.

CONDITIONS FOR GRANTING ADOPTION TO A FOREIGNER

For a foreigner to be allowed to adopt a Tanzanian child there are several conditions which have to be proved to exist as stipulated under the Act.
The Applicant has to prove that:-
(a) The child may not be placed in a foster or adoptive family or……

 

Read More


COPYRIGHT PROTECTION IN TANZANIA MAINLAND.

GOVERNING LAW

In Tanzania Mainland copyright is protected under the Copyright and Neighbouring Rights Act, Chapter 218 (Revised Edition of 2002)

MEANING OF COPYRIGHT

According to the Act, “copyright” means the sole legal right to print, publish, perform, film or record a literary or artistic or musical work.

COPYRIGHT REGISTRATION

Copyright Society of Tanzania (COSOTA)

Read More


Useful information about trade and service marks law in Tanzania Mainland

Here are a few things which you may wish to know or refresh your memory about the legal position in Tanzania Mainland on trade and service marks law.

  1. Is a trade and service mark renewable?

Yes…..

Read More


Kesi ya kusingiziwa inaweza kumpatia mtu fidia kubwa ya kifedha, kama TShs. 50,000,000/-

Kumsingizia mtu kesi ya jinai na kumsababishia kuwekwa rumande ni kosa ambalo fidia yake inaweza kufika hadi TShs. 50,000,000/-. Kosa hilo linafahamika kama false imprisonment na liko katika kundi la makosa dhidi ya mtu ambayo yanajulikana kwa ujumla kama Torts. Kosa la false imprisonment maana yake ni kuzuia uhuru wa mtu kwa kumfungia mahali bila uhalali.

Tuangalie kesi ya Augustino Peter Mmasi v. Tausi Selemani iliyoamuliwa na Mahakama ya Rufaa ya Tanzania, mwezi April, 2015. Mnamo tarehe 12/05/2006, majira ya saa kumi na mbili asubuhi, mdogo wake Augustino aitwaye Paul Mmasi alikutwa mferejini akiwa amekufa. Kesho yake majira ya saa nane usiku….

Soma Zaidi